Ta Ha 20:42 اذهب انت واخوك باياتي ولا تنيا في ذكري ٤٢
ٱذۡهَبۡ
أَنتَ
وَأَخُوكَ
بِـَٔايَٰتِي
وَلَا
تَنِيَا
فِي
ذِكۡرِي
٤٢
Nenda, wewe na ndugu yako, pamoja na ishara zangu, wala msichoke kunikumbuka.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Enda, ewe Mūsā, wewe na ndugu yako Hārūn, ukiwa na aya zangu zinazoonyesha uungu wangu na ukamilifu wa uweza wangu na ukweli wa utume wako, wala msiwe wanyonge katika kuendeleza utajo wangu.
«Enda, ewe Mūsā, wewe na ndugu yako Hārūn, ukiwa na aya zangu zinazoonyesha uungu wangu na ukamilifu wa uweza wangu na ukweli wa utume wako, wala msiw…